jiandikishe
Umesahau nenosiri? - pata nenosiri jipya
Jackpot 17TZS:200,000,000T&Cs apply
  • Soka
  • Mpira wa kikapu

Mechi zijazo

Ligi za moto

  • Premier League

  • La Liga

  • Bundesliga

  • Serie A

  • Ligue 1

  • UEFA Europa League

  • UEFA Europa Conference League

  • UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Nchi

Tufikie
SHINDA HADI TZS 500,000,000


Cheza Aviator kuanzia saa 1 usiku hadi saa 4 usiku kila siku ujishindie hadi Tsh 500,000,000

 


Je, wewe ni mpenzi wa mchezo wa Aviator? Usilale kinyonge tena!


Jikusanyie mapene kwa kucheza aviator mara kwa mara kuanzia saa 1 usiku hadi saa 4 usiku upate nafasi ya kushinda mgao wa Tsh 500,000,000 kila siku.


Hii ni ofa maalum ya saa ya furaha inayojulikana kama CHA KULALIA ambapo tunakupa sababu ya kuwa na usiku mzuri kabla ya kulala.


Ofa hii ni kwa wateja wote wa kingbet bila kujali historia yao (siku aliyojisajili, ni mbashiri wa michezo ipi sana sana) muhimu ni kutimiza vigezo husika ili kufaidika na ofa hiyo.




Jinsi ya kufaidika na Ofa ya CHA KULALIA



Ili mchezaji anufaike na ofa hii atapaswa kucheza aviator kuanzia saa 1 usiku hadi saa 4 usiku na kutumia dau si chini ya TZS 10,000


Hata ukishindwa au kushinda, utazingatiwa kama mmoja wa wanufaika wa mgao wa Tsh 500,000,000 katika siku hiyo uliyocheza.

 



Vigezo na Masharti

 


- Ofa hii inatolewa kwa wateja wote wa Kingbet kuanzia Jumapili, tarehe 1 Juni 2025.

- Ofa hii itatumika kwenye mchezo wa Aviator pekee.

- Ofa hii itapatikana kila siku kuanzia saa 1 usiku hadi saa 4 usiku.

- Pesa ya ushindi ni Tsh 500,000,000 ambazo zitagawiwa kila siku kwa washindi.

- Kiwango cha chini cha dau la kingbet mchezo wa Aviator ni Tsh 200 lakini Ili mchezaji aingie kwenye droo hii lazima atumie si chini ya Tsh 10,000 wakati wa furaha.

- Hata ukishindwa au kushinda, utahesabiwa kuwa mmoja wa wanufaika wa Tsh 500,000,000 katika siku hiyo uliyocheza.

- Mchezaji atapata kiasi gani itategemea alicheza raundi ngapi na ametumia kiasi gani lakini kiwango cha chini cha ushindi ni TZS 10,000.

- Mshindi atatumia bonasi yake namna apendavyo (kuitoa kama salio, au kuibashiria tena), isipokuwa kwa viwango husika vya chini na juu vya kutoa pesa kutoka kwenye akaunti. Pia unaweza kutoa bonasi yako wakati wowote kwakuwa haina mwisho.

- Kingbet inahifadhi haki ya kubadilisha, kusimamisha, au kughairi ofa hii wakati wowote bila notisi ya awali.

- Ni lazima uwe na angalau umri wa miaka 18 ili kubashiri na KingBet na kushiriki katika ofa hii.

- Kwa kushiriki katika ofa hii, unakubali Sheria na Masharti haya na kanuni na masharti ya jumla ya KingBet.


Lipa kwa simu
  • 166166
  • 166166
  • 166166
  • 166166

Wasiliananasi

J.X BETTING T LTD
TIN:132-805-598
Certificate of Incorporation 132566
Tanzania, Dar Es Salaam,Mikocheni
Financial Intelligence Unit

Play Responsibly

Gambling can be addictive.

Responsible Gambling

Kingbet imeidhinishwa na Bodi ya Michezo ya buhatisha. Leseni #SB1000000007

Sasisha wakati:2026-04-01 20:20:59